Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alitoa kiasi cha Shilingi 131,300,000 kwaajili ya ujenzi WA vyumba vitano vya madarasa na matundu 3 ya vyoo katika shule ya msingi Malambo,MRADI WA BOOST na ujenzi umekamilika kwa Asilimia Mia Moja
Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.