• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhamira
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji na Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Kata
      • Loliondo
        • Ololosokwan
        • Soitsambu
        • Enguserosambu
        • Maalon
        • Oloirien Magaiduru
        • Piyaya
        • Orgosorok
        • Oloipir
        • Arash
      • Ngorongoro
        • Alailelai
        • Naiyobi
        • Olbalbal
        • Nainokanoka
        • Kakesio
        • Ngorongoro
        • Eyasi
        • Endulen
        • Ngoile
        • Alaitolei
        • Misigyo
      • Sale
        • Sale
        • Malambo
        • Digodigo
        • Oldonyosambu
        • Samunge
        • Pinyinyi
        • Kirangi
        • Engaresero
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezw
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

VIJANA WENYE UMRI HADI MIAKA 45 SASA KUNUFAIKA NA MIKOPO YA HALMASHAURI.

Posted on: February 9th, 2025

OR - TAMISEMI


Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI anayeshughulikia Afya, Mhe. Dkt. Festo Dugange, amesema kuwa ukomo wa umri wa vijana wanaostahili kupata mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Halmashauri umeongezwa kutoka miaka 35 hadi 45.


Dkt. Dugange ametoa maelekezo hayo bungeni jijini Dodoma kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa, wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Bunda, Mhe. Boniphace Mwita Getere aliyetaka kujua ni lini Serikali itatenga dirisha maalum la mikopo kwa wanaume waliovuka umri wa vijana.


Akijibu swali hilo, Dkt. Dugange ameeleza kuwa mikopo hiyo ya asilimia 10 hutolewa kwa makundi maalum ya wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu kwa masharti nafuu bila riba, kwa kuwa makundi hayo yana changamoto ya kupata mikopo kutoka taasisi za kifedha kutokana na ukosefu wa dhamana na uwezo wa kumudu riba kubwa.


 "Ukomo wa umri wa vijana wanaostahili kupata mikopo sasa umeongezwa kutoka miaka 35 hadi 45," amesema Dkt. Dugange.


Katika swali la nyongeza, Mhe. Getere amehoji ni lini Serikali itatoa mwongozo rasmi kwa Halmashauri ili wananchi wa vijijini wapate ufahamu kuhusu mabadiliko hayo.


Dkt. Dugange amefafanua kuwa baada ya kukamilika kwa kanuni za mikopo ya asilimia 10 za mwaka 2024, tayari miongozo imeshatolewa na kusambazwa kwa Halmashauri zote 184.


Amesisitiza kuwa vijana wenye umri wa kati ya miaka 18 hadi 45 sasa wanastahili mikopo hiyo, huku akitoa wito kwa wakurugenzi wa Halmashauri kote nchini kuhakikisha elimu inatolewa kwa wananchi ili kuongeza idadi ya wanufaika.

Matangazo

  • TANGAZO LA RATIBA YA UCHAGUZI NA UANDIKISHAJI WA UCHAGUZI. September 26, 2024
  • TANGAZO LA UANDIKISHAJI VIJANA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA. October 01, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI.2. September 29, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI. September 29, 2024
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • DED NGORONGORO AWAONGOZA WATUMISHI KSHIRIKI ZOEZI LA USAFI HOSPITALI YA WILAYA

    August 13, 2025
  • MAFUNZO YA SIKU 3 KWA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA NGORONGORO.

    August 05, 2025
  • JIFUNZE MBINU ZA KILIMO BORO KWENYE BANDA LA KILIMO LA HALMASHAURI YA WILAYA NGORONGORO MAONESHO YA NANE NANE 2025

    August 03, 2025
  • WANAFUNZI SHULE YA MSINGI MAIROWA WANUFAIKA NA KILIMO CHA BUSTANI YA MBOGA MBOGA.

    July 31, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Afisa kilimo Ngorongoro aeleza na kufafanua namna ya kupata mazao yenye afya na mbegu bora kutumia katika kilimo.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Upimaji darasa la Nne 2019
  • Taarifa na Matangazo
  • Mikataba na Miongozo
  • machapisho mbalimbali
  • Habari kwa umma
  • Taarifa kwa Umma
  • JINSI YA KUPATA SALARY SLIP
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA ELIMU YA KATI NA VYUO VYA UFUNDI JUNE 2019.
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 NGORONGORO

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Rais
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • NGORONGORO DC YOUTUBE CHANEL
  • MATOKEO YA UPIMAJI DARASA LA NNE 2019 WILAYA YA NGORONGORO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.