• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhamira
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji na Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Kata
      • Loliondo
        • Ololosokwan
        • Soitsambu
        • Enguserosambu
        • Maalon
        • Oloirien Magaiduru
        • Piyaya
        • Orgosorok
        • Oloipir
        • Arash
      • Ngorongoro
        • Alailelai
        • Naiyobi
        • Olbalbal
        • Nainokanoka
        • Kakesio
        • Ngorongoro
        • Eyasi
        • Endulen
        • Ngoile
        • Alaitolei
        • Misigyo
      • Sale
        • Sale
        • Malambo
        • Digodigo
        • Oldonyosambu
        • Samunge
        • Pinyinyi
        • Kirangi
        • Engaresero
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezw
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

WANACHI WAASWA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA NA MWILI KUTOKOMEZA TRAKOMA

Posted on: April 14th, 2023

Wananchi wa Wilaya ya Ngorongoro wametakiwa kushiriki kikamilifu kufanya usafi wa mazingira na usafi binafsi ili kukabiliana na maambukizi ya ugonjwa wa trakoma.


Akizungumza katika kikao kazi cha kushughulikia magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele kilichofanyika leo April 14 katika ukumbi wa mikutano ya Domel mjini hapa, makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro ambaye pia ni Diwani wa kata ya Obalbal Mhe. Emanuel Tonge amesema ugonjwa wa trakoma unachangia pakubwa kuleta upofu kwa wananchi lakini hali hiyo kwasasa imepungua kutoka asilimia 15 kwa mwaka 2018 hadi asilimia 8.3 mwaka 2022 baada ya serikali kuanza zoezi la utoaji wa kinga na tiba ya ugonjwa huo.


Akizungumza kwa niaba ya Wizara ya Afya Dokta Ambakisye Mchiche ambaye ni Afisa ufuatiliaji wa mpango wa Taifa wa kukabiliana na magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele nchini, amesema juhudi zinahitajika ili kuiondoa Wilaya ya Ngorongoro katika kundi la Halmashauri tisa ambazo bado zina kiwango kikubwa cha maambukizi ya trakoma, pia ameongeza kuwa wilaya sabini bado zinapambana na trakoma huku wilaya zilizofanikiwa kutokomeza ugonjwa huo zikifikia sitini na saba.


Kwa upande wake mratibu wa magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele wilayani hapa Mwl.Emanuel Wilson Hamisi, amesema serikali ya wilaya ya Ngorongoro kupitia idara ya Afya inapanga kufanya zoezi la siku saba la ugawaji wa dawa za kinga na tiba dhidi ya ugonjwa wa trakoma kwa wananchi almaarufu vikope kuanzia tarehe 21 hadi 28 Aprili 2023 awamu ya kwanza na awamu ya pili kutekelezwa miezi mitano hadi 6 baadaye.


Ugonjwa wa trakoma ambao kitaalamu hujulikana kama Egyptian ophthalmia, ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria waitwao klamidia trakomati na maambukizi yake husababibisha kukwaruza kwa sehemu ya ndani ya macho, mkwaruzo unaotajwa kusababisha maumivu ya macho, kuharibika kwa sehemu ya nje ya jicho na hatimaye upofu.

Matangazo

  • TANGAZO LA RATIBA YA UCHAGUZI NA UANDIKISHAJI WA UCHAGUZI. September 26, 2024
  • TANGAZO LA UANDIKISHAJI VIJANA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA. October 01, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI.2. September 29, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI. September 29, 2024
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • NGORONGORO MSTARI WA MBELE KUHIMIZA MATUMIZI YA NISHATI SAFI.

    May 09, 2025
  • KISIMA CHA MAJI SAFI KUCHIMBWA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA NGORONGORO

    April 25, 2025
  • ZIARA YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI TARAFA YA NGORONGORO.

    April 28, 2025
  • WANAFUNZI 576 WA KIDATO CHA SITA KUFANYA MTIHANI WA TAIFA NGORONGORO.

    May 06, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Afisa kilimo Ngorongoro aeleza na kufafanua namna ya kupata mazao yenye afya na mbegu bora kutumia katika kilimo.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Upimaji darasa la Nne 2019
  • Taarifa na Matangazo
  • Mikataba na Miongozo
  • machapisho mbalimbali
  • Habari kwa umma
  • Taarifa kwa Umma
  • JINSI YA KUPATA SALARY SLIP
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA ELIMU YA KATI NA VYUO VYA UFUNDI JUNE 2019.
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 NGORONGORO

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Rais
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • NGORONGORO DC YOUTUBE CHANEL
  • MATOKEO YA UPIMAJI DARASA LA NNE 2019 WILAYA YA NGORONGORO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.