• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhamira
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji na Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Kata
      • Loliondo
        • Ololosokwan
        • Soitsambu
        • Enguserosambu
        • Maalon
        • Oloirien Magaiduru
        • Piyaya
        • Orgosorok
        • Oloipir
        • Arash
      • Ngorongoro
        • Alailelai
        • Naiyobi
        • Olbalbal
        • Nainokanoka
        • Kakesio
        • Ngorongoro
        • Eyasi
        • Endulen
        • Ngoile
        • Alaitolei
        • Misigyo
      • Sale
        • Sale
        • Malambo
        • Digodigo
        • Oldonyosambu
        • Samunge
        • Pinyinyi
        • Kirangi
        • Engaresero
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezw
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

Waziri Ndumbaro azindua zoezi la uwekaji alama kwa Faru eneo la Hifadhi ya Ngorongoro..

Posted on: August 17th, 2021

Waziri Ndumbaro azindua zoezi la uwekaji alama kwa Faru eneo la Hifadhi ya Ngorongoro.


Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Damas Ndumbaro amezindua zoezi la uwekaji wa alama kwa faru katika hifadhi ya Ngorongoro kwa lengo la kuimarisha ulinzi na uhifadhi wa Wanyama hao ambao ni zao kubwa la Utalii nchini


Dkt. Ndumbaro ameeleza kuwa Wanyama aina ya faru ni adimu na muhimu sana katika utalii na Uhifadhi hivyo ulinzi wao kwa kutumia teknolojia ya kisasa ni kipaumbele kuwezesha ufuatiliaji wa mienendo yao hasa wanapozunguka maeneo mbalimbali ndani ya Hifadhi.


“Faru ni zao muhimu katika Utalii na Uhifadhi, katika kuimarisha zao hili nawapongeza NCAA kwa hatua hii  ya kushirikiana na wadau kubuni mfumo wa teknolojia ya kisasa unaosaidia kulinda na kufuatilia mienendo ya Faru hasa wanapotoka nje ya Hifadhi na kuingia kwenye mashamba ya watu” alisema Dkt. Ndumbaro.


Waziri Dkt. Ndumaro ameongeza kuwa Utalii wa Faru ni zao muhimu katika kuongeza pato la Nchi na idadi kubwa ya wageni wanaokuja Ngorongoro moja ya kivutio kikubwa kwao ni Faru hivyo teknolojia ya kuwalinda faru inasaidia kuongeza idadi yao kwa haraka zaidi.


Mkurugenzi wa Wanyamapori kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Maurus Msuha ameeleza kuwa zoezi la kuweka alama kwa Faru ni utekelezaji wa mpango wa kimataifa wa kuhakikisha kuwa maeneo yote yanayopatikana faru yanalindwa kwa mbinu za kisasa na faru hao  kuwekewa alama za utambuzi ili kuwafuatilia mienendo yao kwa urahisi zaidi.


Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro Dkt. Freddy Manongi amebainisha kuwa Hifadhi ya Ngorongoro ndio eneo pekee Tanzania na duniani kote ambako mtalii anaweza kuwaona faru weusi wakiwa katika maeneo yao ya asili.


Ameahidi kuwa NCAA itaendelea kuhakikisha kuwa wanatumia mbinu zote za kisasa kuwalinda na kuwahifadhi faru hao ili waweze kuishi kwa mda mrefu zaidi kama ilivyokuwa kwa faru mkongwe zaidi ambaye alikufa katika hifadhi ya Ngorongoro mwaka 2019 akiwa na umri wa miaka 57.


Kiongozi wa mradi wa wa Frankfurt zoological Society Bw. Riam Labuschagne ambao ni wadau muhimu katika Miradi ya uhifadhi wa mnyama Faru nchini ameahidi kuendelea kushirikiana na Wizara ya Maliasili na Utalii kuwezesha teknolojia za kidijitali  na mafunzo kwa askari wanyamapori ili kuendeleza juhudi za muda mrefu za uhifadhi ambazo matunda yake yanaonekana kutokana na ongezeko la Faru nchini kila mwaka.

Matangazo

  • TANGAZO LA RATIBA YA UCHAGUZI NA UANDIKISHAJI WA UCHAGUZI. September 26, 2024
  • TANGAZO LA UANDIKISHAJI VIJANA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA. October 01, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI.2. September 29, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI. September 29, 2024
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • BARAZA LA HALMASHAURI NGORONGORO LATAMBUA NA KUZIPONGEZA SHULE ZILIZOFANYA VIZURI NA MICHANGO YA WADAU WA ELIMU, KFW, THOMSON Safaris na PWC ZAPONGEZWA. MIL 3.5 ZATOLEWA KAMA ZAWADI.

    February 21, 2026
  • TANAPA, FZS NA KFW WAUNGANISHA NGUVU KUBORESHA MIUNDOMBINU YA KISASA YA SHULE YA MSINGI SOITSAMBU.

    February 18, 2026
  • BARAZA LA WAFANYAKAZI HALMASAHURI YA WILAYA YA NGORONGORO LIMEPITISHA RASIMU YA MPANGO WA BAJETI 2026/2027.

    February 13, 2026
  • UFUATILIAJI WA KINA KUFANYIKA KUBORESHA AFYA KWA WATOTO WENYE CHANGAMOTO YA LISHE.

    February 10, 2026
  • Tazama zaidi

Video

Afisa kilimo Ngorongoro aeleza na kufafanua namna ya kupata mazao yenye afya na mbegu bora kutumia katika kilimo.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2026
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2025/2026
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 NGORONGORO
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2023
  • Taarifa na Matangazo
  • Mikataba na Miongozo
  • Taarifa kwa Umma
  • Matokeo ya Upimaji darasa la Nne 2019
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA ELIMU YA KATI NA VYUO VYA UFUNDI JUNE 2019.

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Rais
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2025/-2026
  • NGORONGORO DC YOUTUBE CHANEL

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.