• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhamira
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji na Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Kata
      • Loliondo
        • Ololosokwan
        • Soitsambu
        • Enguserosambu
        • Maalon
        • Oloirien Magaiduru
        • Piyaya
        • Orgosorok
        • Oloipir
        • Arash
      • Ngorongoro
        • Alailelai
        • Naiyobi
        • Olbalbal
        • Nainokanoka
        • Kakesio
        • Ngorongoro
        • Eyasi
        • Endulen
        • Ngoile
        • Alaitolei
        • Misigyo
      • Sale
        • Sale
        • Malambo
        • Digodigo
        • Oldonyosambu
        • Samunge
        • Pinyinyi
        • Kirangi
        • Engaresero
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezw
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

Videos

  • MCHEZO WA SOKA KUHAMASISHA DHANA YA UHIFADHI NGORONGORO

    October 30th, 2018
  • UFUNGUZI WA MBWAMWITU CUP MWAKA 2018

    October 29th, 2018
  • MCHEZO KATI YA SERENGETI BOYS VS SOITSAMBU FC(Mbwamwitu CUP 2018)

    October 26th, 2018

    Ili kuibua  vipaji kwa vijana na kutambua umuhimu wa uhifadhi  Halmashauri ya wilaya Ngorongoro kwa udhamini  wa wadau wa maendeleo  shirika la GIZ wameanzisha mashindano ya mpira wa miguu maarufu kama ligi ya  mpwamwitu Cup yenye ujumbe wa  Wanyama Wetu /Mifugo wetu /Fahari yetu

    Ligi hiyo inashirikisha timu kumi (10) kutoka tarafa ya sale na Loliondo na katika mechi za ufunguzi leo kundi  A,Serengeti boys imeibuka mshindi nyumbani kwa jumla ya 2-1 dhidi Soit sambu fc,

    Serengeti boys ni ya kwanza kupata goli mnamo dakika ya 32  kupitia kwa mchezaji wake Lolusu, na Soitisambu FC kusawazisha kupitia kwa mshambuliaji nuhu Ismail dkk ya 75, hata hivyo serengeti boys walijipatia goli la pili mnamo dakika ya 88 ya mchezo kutoka kwa super sub Leshan Kashe.

    .

    Kwingineko katika mchezo wa kundi B  kulikuwa na mtanange kati ya mount lengai kutoka malambo dhidi ya digodigo home boys  ambapo mbali na vijana wanyumbani Digodigo kuwa wenyeji wa michezo hiyo  wamepokea kichapo cha goli 4-0 dhidi ya mount lengai

  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • Next →

Matangazo

  • No records found
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • MTUMISHI ASIMAMISHWA KAZI KWA TUHUMA ZA WIZI WA DAWA KUPISHA UCHUNGUZI:.

    July 03, 2024
  • MKURUGENZI NGORONGORO AZUNGUMZA NA BODABODA WA MJI MDOGO WA LOLIONDO.

    July 03, 2024
  • WAKURUGENZI WA HALMASHAURI JENGENI VITUO VYA BODABODA - Mhe. Mchengerwa Waziri wa Nchi.

    July 02, 2024
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA NGORONGORO.

    July 01, 2024
  • Tazama zaidi

Video

Afisa kilimo Ngorongoro aeleza na kufafanua namna ya kupata mazao yenye afya na mbegu bora kutumia katika kilimo.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

Viunganishi Linganifu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.