ghgjkj
Vikundi vya ufugaji nyuki vyaweseshwa Ngorongoro
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh.Mrisho Gambo akikabidhi Mwenge wa Uhuru kutoka Mkoani Mara kwa Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro Mh.Rashid Taka katika Eneo la Oldupai.Mwenge wa Uhuru utazunguka wilayani Ngorongoro kukagua na kuzindua miradi miradi mbalimbali ya maendeleo zaidi 6 yenye dhamani ya zaidi shilingi za kitanzania milioni mia nane (800)
Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.