Posted on: April 19th, 2018
Watoto wenye umri wa miaka 5 hadi 14 wilaya ya ngorongoro wameanza kupatiwa dawa za kuua na kuzuia minyoo ya tumbo (tiba kinga) tarehe 19/04/2018. Huu ni mpango wa serikali wa kuwakinga watoto na didh...
Posted on: April 7th, 2018
Afisa Elimu wa Mkoa wa Arusha Mwalimu Gift Kyando (pichani) amewataka Maafisa TEHAMA kufanya kazi kwa uadilifu, weledi na kuonesha juhudi katika kutatua changamoto za kimfumo zinazoikabili Sekta ya El...
Posted on: March 9th, 2018
Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani hufanyika tarehe 8 mwezi Machi kila mwaka. Kwa mwaka 2018 maadhimisho haya kitaifa yamefanyika mkoani Arusha na kwa Wilaya ya Ngorongoro yamefanyika kata ya Olo...