Posted on: June 18th, 2025
Kamati ya fedha, uongozi na mipango Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro leo tarehe 18 Juni, 2025 imekaa kikao na kupitia taarifa ya mapato na matumizi ya mwezi Mei 2025 kwa kipindi cha mwaka wa fedha ...
Posted on: June 11th, 2025
Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, Missaile Albano Musa ameipongeza halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro kwa kuhahakikisha wanakusanya vema mapato ikiwemo matumizi sahihi ya bakaa katika miradi mbalimbali y...
Posted on: June 3rd, 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro imeshika nafasi ya kwanza upande wa riadha wavulana na wasichana mashindano ya UMITASHUMTA 2025 kwa ngazi ya mkoa.
Huku upande wa mpira wa mikono (handb...