Posted on: July 31st, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Mhe. kanali Wilson Sakulo ameshiriki na kuongoza kikao cha tathmini ya utelezaji wa shuguli za lishe kwa kipindi cha miezi mitatua kuanzia mwezi Aprili hadi Juni 2024 leo ...
Posted on: July 25th, 2024
Mwenge wa Uhuru Leo tarehe 25 Julai, 2024 umekimbizwa wilayani Ngorongoro umetembelea miradi zaidi 8 yenye thamani ya shilingi bilioni 10.83 iliyopo katika kata ya Engarasero, Sale, Maalon, Samunge, O...
Posted on: July 20th, 2024
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (MB) akigusa kishikwambi kuzindua uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura leo tarehe 20 Julai, 2024 mkoani Kigoma.
...