Posted on: September 13th, 2018
Mh.Rashid Taka-Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro akimkaribisha Mh.Mrisho Gambo-Mkuu wa mkoa wa Arusha katika zoezi la kupokea Mwenge wa Uhuru wilaya ya Ngorongoro
Mh.Siloma -Mwenyekiti wa Halmashauri ya...
Posted on: September 5th, 2018
Madiwani watano waliojiuzulu kutoka CHADEMA na kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM) hatimaye wameapishwa rasmi tarehe 04/09/2018 katika ukumbi wa halmashauri.Hayo yalijiri wakati wa baraza la kawaida...